Duration 15:16

Tundu Lissu Uchaguzi huu ni wa kufa na kupona, Mkutano wa ACT-WAZALENDO

Published 5 Aug 2020

Tundu Lissu ''Uchaguzi huu ni wa kufa na kupona'' Azungumza kwenye mkutano wa ACT-WAZALENDO Tundu Lissu anasema "Sisi wanachadema hatutafanya jambo lolote la kuhujumu harakati za miaka mingi za wanzanzibar chini ya Maalim Seif, Akasisitiza: "Uchaguzi huu ni wa kufa na kupona, tukikosea tumekwisha"- Mh Tundu Lissu Aidha aliongeazea kuwambia wana ATC, "Uchaguzi mkuu huu ni uchaguzi wa kihistoria. Fikiria hii miaka mitano ilivyokuwa, alafu fikiria tuongezee miaka mingine mitano kama hii itakuwaje."

Category

Show more

Comments - 12