Duration 2:10

Alikiba 'akiwasha' Mkwakwani Coastal Union ikizindua jezi mpya

164 883 watched
0
532
Published 9 Sep 2018

Timu ya Coastal Union imepata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Arusha United, katika mchezo wa kirafiki uliopigwa leo kwenye dimba la Mkwakwani Jijini Tanga, bao likifungwa na Mohamed Kijiko. Mchezo huo ulikuwa maalum kwaajili ya kuzindua jezi mpya ya Coastal Union ambapo nyota wa muziki wa bongo fleva nchini Alikiba alikuwa ni sehemu ya kikosi cha timu hiyo.

Category

Show more

Comments - 47