Mungu ni Mungu anayeheshimu maagano,anaweza kukalia kimya vitu vingine lakini sio Agano lake.
Wakati wana wa Israeli walipomlilia Mungu awatoe utumwani,Neno linasema Mungu alisikia kilio chao lakini hakwenda kuwatoa moja kwa moja bali alienda kumtafuta mtu ambaye ataingia nae agano ili akawatoe wana wa Israeli Misri.
Kutoka 3:6-7
[6]Tena akasema, Mimi ni Mungu wa baba yako, Mungu wa Ibrahimu, Mungu wa Isaka, na Mungu wa Yakobo. Musa akaficha uso wake; kwa maana aliogopa kumwangalia Mungu.
[7]BWANA akasema, Hakika nimeyaona mateso ya watu wangu walioko Misri, nami nimekisikia kilio chao kwa sababu ya wasimamizi wao; maana nayajua maumivu yao;
Mungu huheshimu sana maagano,na ndio maana kama unajua ni Mtumishi wa Mungu ni muhimu sana kuwa na agano na Mungu.
UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
Like our Facebook: https://www.facebook.com/Therealityof ...
Follow our Instagram: https://www.instagram.com/realityofch ...
Subscribe our YouTube: /channel/UC67L ...
Also Subscribe Roc worshippers youtube channel:/channel/UCyVhAzjcFaJH7lxgiMQviGQ
and Subscribe Pastor Sunbella Kyando YouTube
/channel/UCoBuJc3EbjF6r90ov6B3N0Q
@lemburismollel23933 years agoDaily following this ministry and the minister in all your channels from here cairo, egypt. remember this arab republic of egypt which is an islamic. ...Expand1
@
@ibreezyboe90063 years agoNabarikiwa sana mchungaj kwa maombi yako. 1
@
@jessyjeca3 years agoI connect myself and my family in this alter amen. 1
@
@mutalemwapastoly41583 years agoTunazidi kubalikiwa kwa mahubiri yako mungu akutie nguvu. 1
@
@gilbertwanje3 years agoSamahani naomba nambari za simu za mtumishi wa mungu ili niwasiliane naye. Nko. 1
@
@scarletivyfrancis12033 years agoNimesikiliza haya maombi na roho wa bwana ameniponya maumivu yangu ya tumbo yaliyonisumbua kwa mda mrefu jina la bwana lizidi kupewa sifa amina. 1
@
@mgalilayamweusi60373 years agoHii ndiyo ibada yangu ya kwanza kuhudhuria toka nianze fatilia toka mtwara, mungu amewapa madhabau yenye agano la kufundishwa kweli na zaidi ya yote uponyaji. ...Expand3
@
@lucilamushi28943 years agoNajiungamanisha na madhabahu ya reality of christ kea jina la yesu. Mtumishi nabarikiwa mnoo na huduma yako. Namba utaratibu wa ibada za dar es salam na dodoma. Nipo morogoro.
Related videos for AGANO - PASTOR SUNBELLA KYANDO:
remember this arab republic of egypt which is an islamic . ...Expand 1