Duration 22:29

PART 2:MAAJABU YA PADRE MTEMBEA PEKU/NILIKANYAGA NYOKA HATARI NA NNGE/SIJAWAI KUTUMIA SIMU WALARADIO

70 057 watched
0
510
Published 23 Sep 2020

PART 1:MAAJABU YA PADRE MTEMBEA PEKU/NILIKANYAGA NYOKA HATARI NA NNGE/SIJAWAI KUTUMIA SIMU WALARADIO Hutojuta Kufuatilia Historia ya Padre Rikardo Mkurugenzi wa Alpha Seconday Iliyoko Morogoro Nchini Tanzania Aliwai kutamani kuweka MABOMU Kwenye Majengo ya Serikali ili ayalipue/Amekuwa Maarufu zaidi kutokana na hali yake ya kutovaa Viatu,hatumii simu na wala Asikilizi Radio Licha ya Ukweli kwamba ni Mkurugenzi wa Kituo cha Matangazo cha Radio Ukweli iliyoko Mkoani Morogoro. Ana Mambo Mengi sana ambayo Utafurahi kuyafahamu na Hakika Utajifunza pia. Muendelezo wa Story hii Unapatikana Kupitia #BreezOnlineTv

Category

Show more

Comments - 135