Duration 3:42

Kumbe hii ndo Sababu iliyopelekea Kifo cha yule Kamanda Shana wa ArushaDaah

125 632 watched
0
304
Published 16 Sep 2020

Kumbe hii ndo Sababu iliyopelekea Kifo cha yule Kamanda Shana wa Arusha!?Inaliza!

Category

Show more

Comments - 107
  • @
    @awadhishechambo34264 years ago poleni sana wafiwa ccm kwakuondokewa na moja kati ya wapigania chama chenu mungu amuweke mahali panapo sitahili 1
  • @
    @sadasaid44083 years ago Jamaani sikusikia hii habari mungu akurehemu baba,Akuweekee mwangaza ktk kaburi, mashallah hodari huyu baba alikuwa
  • @
    @vallerinejesse22994 years ago Poleni sana wafiwa wote mimi nilikua nampenda na kufuatilia kila anapokua akitoa taarifa za uhalifu na wahalifu.alikua anakufanya unaemsikiliza upende kumsikiliza zaidi! Apumzike kwa Amani na Mwenyezi MUNGU atampa ijara ya kz zake njema. ... 5
  • @
    @hassanmohammed91534 years ago Mungu awape subra Familia yake ni msiba wetu ss natukumbuke ndio njia yetu sote 4
  • @
    @leonardmanyanza10584 years ago Tutakukumbuka sana kamanda shana utendaji wako wakuchapa kazi hapa mwanza ulikuwa wakutukuka pumzika kwa aman shujaa 3
  • @
    @amielkatekellah70534 years ago RIP Kamanda Shana. Kazi uliifanya, kiukweli ni huzuni kwa sisi watanzania kukupoteza wewe kwani ulikuwa askari bora kiongozi wa operation ya kutokomeza ujambazi hasa katika mkoa wa Mwanza na Arusha. Mungu ifariji familia ya marehemu uwalinde ... 1
  • @
    @kadogoomushadi54094 years ago Mwenyezi mungu amlaze mahali pemapeponi amiin na poleni sanawafiwa wote mungu akupeni subra sana.
    Sote niwatarajiwa wakifo mungu atujaaliye tutende mema. yarabby
  • @
    @ndabarinzesamuel93334 years ago Poleni sana watanzania kwa kumpoteza huyu shujaa mlinzi wa usalama wa inchi, Mungu amlaze pema. 1
  • @
    @labancaros91814 years ago MUNGU AILAZE ROHO YA SHANA MAHALI PEMA PEPONI AMEN 2
  • @
    @joycekalago5322 years ago Jaman nimejua leo tarehe 11/05/2022 kifo cha kamanda huyu
  • @
    @user-ng6yt2od7l3 years ago Kichwa cha habari kingine mmm R.I.P MSHANA
  • @
    @allysufian39284 years ago Kamanda Mungu akupe kauli thabiti ya kujibu maswali ya makamanda wa mungu malaika hapo kaburini poleni sana wafiwa wote
  • @
    @yunusally37984 years ago Mwenyezi mungu amlaze sehemu inayomsataikia amlipe kwa aliyoyafanya 1
  • @
    @nyamtigaibrahim5304 years ago Ongea kama mwandishi bwana mbona unaremba sauti kama unatangaza kipindi cha mahaba 2
  • @
    @fredpeter52724 years ago Sote tutakwenda poleni sana majeshi ya urinzi pole famiry 2
  • @
    @gracejohn8864 years ago Mh poleni wafiwa wote na wafanyakaz wenzie pumzika kwa amani kamanda 😭😭😭😭😭😭 3
  • @
    @amocchazz25274 years ago Polen Jesh la. Polisi kwakupoteza kamanda
  • @
    @evetamakoi98564 years ago Familia ya mshana mungu awape moyo was uvumilivu kipindi hiki kigumu
  • @
    @ramamtetu23274 years ago Daaahhh
    Inna lilahi wainna ilaihi Raajiuuna
    Poleni sana Wafiwa Wote
  • @
    @shanelisessoa63194 years ago Waaache watangulie Mungu amueke mahala apendapo
  • @
    @happinesserick89814 years ago Kaniuma sana huyu baba Jana nilipo muona .mungu ampumzishe mahali pema .
  • @
    @teddymwageni17634 years ago Matatizo ya kiafya , Mungu ailaze roho yake mahali pema
  • @
    @saidasimba99794 years ago Mbona nimeskia umejung' ata tu kutaja kifo kilisababishw na nn au huna uhakika unaogopa TCRA
  • @
    @kinglubwaza96184 years ago Kanyakuliwa ,unajua watu husahau hii safari yakunyakuliwa niyakila mmoja,aende tu .
  • @
    @uberdar73634 years ago Ndio wasome waliobaki tujue mungu yupo CIO dunia tu. 4
  • @
    @edithmakwakwa94894 years ago Rip commender ,baadhi ya watu msipende kutoa maneno ya dhihaka na hukumu mtu anapomaliza Safari yake hapa duniani ,hakika hukumu ni ya MUNGU tu. 2
  • @
    @pauljackson81204 years ago rip lakin huyu kafariki kama watu wengine 2 mlitaka afe nani badala yake///
  • @
    @namelockmaasailady80024 years ago Mtangajazi hauna sauti ya kutangaza tafadhali
  • @
    @geofreymalila2574 years ago Mnajifanya chanzo cha kifo halafu mnaongea uongo acheni ukanjanja
  • @
    @ustadhisimbula86224 years ago INNAH LILLAH WAINNA ILAYH RAAJIUN POLEN WAFIWA KAMANDA WETU HUYU ALIKUA RAFIKI YANGU SANA TUTAKUKUMBUKA KWA MENGI MKUU
  • @
    @mussaseifabdullwahid3414 years ago Kumbe nao wanakufa? Mm nilifikiri hawafi ! Hp ndo wanatakiwa wasome aasitumiwe vby kwa upuuzi na ujinga wa kisiasa kila mtu ataubeba mzigo wako .Jeshi la Polisi mjitathimini kuna cku mtaitwa maiti .amali hk nfo iyokusaidia 1
  • @
    @yaqoobalhinai38054 years ago Simseme tu corona munaficha nini mficha maradhi umauti unamsubiri yani tz tu ndio yukomungu duniyani kote hakuna mungu 1
  • @
    @aliysalim66164 years ago Mwache afe amekufa mbwa wangu itakua yeye sio ishu
  • @
    @abdallahbabayo44504 years ago Allah alitie nuru kaburi lake amsamehe makosa yake
  • @
    @rukiamangosongo85564 years ago Nawatakia mazishi mema na amlize malipeponi amii
  • @
    @mussaseifabdullwahid3414 years ago Hkn anopenda kusema maneno ya ovyo ila ukaeli usofichika Jeshi la Polisi linatumiwa vby linaonea watu ovyo na hao mnoaafanyia hv jamaa zao aanaumii hwn uwezo tu lzm wajitambuwe kaa sbb hawajitambuwi kuna cku ya .mwisho utaulizwa humu mna watu wengi tu washakufa na Polisi na wengine kupata ulemavu aa maisha ...
  • @
    @kabamedestrong39174 years ago Ndugu zangu mm ni msanii chipukizi naomba support yako kutazama video yangu ya pineapple na Ku subscribe kwa kugusa picha yangu hapo juu niachie maoni yako ushauri utanisaidia I hope utaenjoy Ahsanteni sana🙏
  • @
    @jenyyusuph49734 years ago Duuh lkn mbona wanakufa CCM tu kweli bwana anatoa au Bara mbunge kule zenz mara mwanashera babu mara huyu polisi why!?
  • @
    @AliAli-pe7sj4 years ago SASA NYINYI MULIOLETA VIFARU NA MABOMU VISIWA NA KUWALETA MAJECHI NA ASIKARI KUPIGA NA KUUWA SASA SOMENI HAPO MUJUWE YUPO ALLAH S W MWENYE NGUVU ZAIDI 2
  • @
    @imeishahiyo46524 years ago Wimbo Maalum Kwa Ajili Ya Kuunga Juhudi za Mh. Lissu -
  • @
    @Ndu-wa.uroony24 years ago Mzee wa nyakua kifo nacho kimemnyakua e basi 4