Duration 3:28

Baadhi ya waandamananyi wafanikiwa kupenya na kufika mpaka Ikulu.

143 394 watched
0
329
Published 19 Oct 2012

Licha ya polisi kuweka ulinzi mkali katika mitaa mbalimbali ya jiji la Dar Es Salaam kuwadhibiti watu wanaodhaniwa ni Waumini wa dini ya Kiislamu waliokuwa na nia ya kufanya maandamano kuelekea Ikulu kwa lengo la kushinikiza kuachiliwa huru wenzao wanaoshikiliwa na polisi baadhi yao wamefanikiwa kupenya hadi katika maeneo ya Ikulu japo wameishia mikononi mwa polisi waliokuwa wamezunguka kona zote za makazi hayo ya raisi

Category

Show more

Comments - 130