Duration 26:53

Maonyo Kuhusu uzazi 1 Ushuhuda wangu

4 230 watched
0
22
Published 14 Feb 2018

MAONYO KUHUSU UZAZI Ushuhuda wangu Mwanzo 1: 26-28 Kisha Mungu akasema, “Tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; atawale samaki wa baharini, ndege wa angani, wanyama wa kufugwa, dunia yote na viumbe vyote vitambaavyo.” Basi, Mungu akaumba mtu kwa mfano wake; naam, kwa mfano wake Mungu alimuumba. Aliwaumba mwanamume na mwanamke. Mungu akawabariki na kuwaambia, “Zaeni muongezeke, mkaijaze nchi na kuimiliki; muwatawale samaki wa baharini, ndege wa angani, na kila kiumbe hai kitembeacho duniani.” ( HBN) SHUKRANI: Kwa Baba wa mbinguni kwa kuniwezesha, Nashukuru kwa wote wanaoniombea na kunisaidia, Wabarikiwe wazazi na wachungaji wa watoto waliomo. Muinjilisti M. A. NY. MITAMBA mireillemitamba@yahoo.fr, +32 489 702 018 02/2018 INAENDELEA, ...

Category

Show more

Comments - 2