Duration 10:7

NINGYO: Nyama Iliyomfanya Binti Aishi Miaka 800.

by YIB
99 530 watched
0
2.1 K
Published 22 Feb 2020

In This Video: Hivi ushawai kujiuliza nani alikaa chini na kuanza kutungunga majina ya viumbe mbalimbali, Mfano Twiga, ukijaribu kufikilia neno hili maswali mengi sana utajiuliza, kwanini aitwe hivyo ? ilikuaje ? je kuna historia nyuma inayohusu jina hilo? kwanini twiga asiitwe tembo maana majina yote yana herufi 5, je twiga aliongea akataja jina lake? vilianzia wapi hivi vitu? Lakini kilichopo ndani  ya maskio yetu lazima kina mwanzo wake, na lazima kina sababu.. Kama vile ilivyo leo katika nafsi yako, unajiuliza ulifikaje fikaje kwenye Channel hii? Jib ni kwamba Ulisubscribe, na kama haujafanya hivyo basi huu ndiyo muda sahihi ukiambatanisha na Like kwnye video hii.!  Enjoy.! INSTAGRAM : https://www.instagram.com/yib_yt/ Twitter: https://twitter.com/Yib_Yt SUBSCRIBE HAPA: /channel/UC7zh-_031V1fMfq-itAzCHg Sources : /watch/o44XxzfZtbKZX https://www.pexels.com/video/view-of-a-beautiful-graveyard-1955541/ Check out other videos on the Channel: Mafuvu 300 Ya Watu Yakutwa Chini Ya Maji, Hakuna Anaejua Nini Kiliwapata.! /watch/4WzGAefe1-9eG KIjana Anaedai Ametokea Mwaka 2075 Atabili Vita Ya 3 Ya Dunia Mwaka 2020.! /watch/EMGjnT3SP77Sj Watu Hawa Walibadili Muonekano Wa Sura Zao Na Hiki Ndicho KIlichowapata.! /watch/ojEiLSljspdji Hata BAUNSA Wa Kiasi Gani, Kwa SHAOLIN MASTER Lazima Akae Chini.! Na Hii Ndiyo Sababu. /watch/cfH9Gw0s1fzs9 Sehemu Yennye Nguvu za AJABU, Hata Ufanyeje Hauwezi Kuanguka.! /watch/0BxSVen5gLK5S Makumbusho Yaiyojaa Miili Ya Binadamu Isiyooza.! /watch/oar_yI9a2Ssa_ Viumbe Wenye Uwezo Wa Kuishi Baada Ya Kufa.! /watch/Uba3csqNz0HN3 Kisa Cha Medusa.! Dada Aliekatwa Kichwa Kwa Kosa La Kubakwa.! /watch/QabeIvrai23ae Ugonjwa Wa Ajabu Uliofanya Watu Kuanguka Barabarani Na Kuchapa Usingizi.! /watch/8lJPWWm02MG0P Watu 6 Wenye Sifa Za Kipekee Duniani ! /watch/oMmH8NbGPf7GH Ukikutwa Maeneo Haya, Kifo Kinakuhusu.! /watch/s61=t&MInwxK89n6N9= Inasikitisha, Afariki Siku Moja Kabla Ya Harusi Yake.! /watch/A2vDlkr5l8u5D Area 51 Sehemu Inayolindwa Kwa Siri Nzito Kuhusu Aliens.! /watch/YtU_-wMQGCrQ_ BERMUDA Triangle, Kisiwa Chaajabu Kinachomeza Watu.! /watch/0aLTnb0Z5ENZT Machozi Yatakutoka Ukisikiiza Stori Za Kusikitisha Katika Video Hii.! /watch/8gg-WZ0gUtrg- Hivi Ndivyo ugonjwa Wa Ukimwi Ulivyoenea Duniani.! /watch/8p3TqZ-6Arm6T Ukikutana Na Viumbe Hawa Kimbia Haraka Uokoe Maisha Yako! /watch/0h4o9X4dzz4do Tukio Lililofanya Watu wengi Wapoteze Maisha.! /watch/gMTfGTcjWTEjf Maajabu Ya Msitu Wa Amazon Na Yaliyomo Ndani Yake ! /watch/No-MbpMI99MM BG Music: "Hero Down by Kevin MacLeod is licensed under a Creative Commons Attribution licence (https://creativecommons.org/licenses/by/4.0/) Source: http://incompetech.com/music/royalty-free/index.html?isrc=USUAN1100880 Artist: http://incompetech.com/ Narrated by: Darhood Written by: Dijjah Edited & Produced by: Camarah #YIB #YourInformationBook #MatukioYaKusisimua

Category

Show more

Comments - 102
  • @
    @sadahaluna17684 years ago Jamani kwa kweli hadithi njoo uongo njoo utam kolea. 9
  • @
    @BirikaEntertainment14 years ago Uki-like video hii, utapata miaka 800 ya bahati nzuri.
    enjoy your weekend.
    37
  • @
    @jumaabdallah27554 years ago Naipenda hii channel ina storry za uongo.
  • @
    @amaninaupendo.35394 years ago Amen. Mtunga majina ni adam mtu wakwanza kumbwa na mungu. Amani kwako. Amen.
  • @
    @abeidsaleem29394 years ago Kudadadekijuu kuliko kengele ya kanisa. 1
  • @
    @leylahchesavio95514 years ago Haha nakupenda bule unajua kaz yako sio wengn kubabaish. 1
  • @
    @rehemamaduhu56424 years ago Huyo samaki mngampa michael jackson maana alikuwa hataki kufa. 11
  • @
    @hassanmpesa65914 years ago Jaman hii nia kwel ama tunaluxhana mbavu.
  • @
    @zuu__953 years ago Hyo nyama ya huyo nyigu haikubak at kdg jmn.
  • @
    @jumahalifamkindi21754 years ago Mnachelewa kupost video jitahidini walau kila siku video 1. 2
  • @
    @lifejeremiah69574 years ago Nimeskiliza kwa umakini ila sijaelewa kitu. 1
  • @
    @vailethsiyame19874 years ago Jmn majina yote alitoa mwenyezi mungu tu.
  • @
    @maliethnyoni28474 years ago Ningempata huyo samaki nyani ningekula maana sipendi kufa wala kuzeeka.
  • @
    @mageuzibarack31794 years ago Yib haina janjajanja za kudanganya wadau wake.
  • @
    @nathanmwatwana82834 years ago Mmhh! Hadithi njoo utam kolea kama uongo potelea mbaal.
  • @
    @ankosamboa31834 years ago Vp kuhusu mvuvi aliepika samaki yy aliishi miaka miangap? 1
  • @
    @nickosimumba45414 years ago Hongela sana kwakutupa story nzuli nice job. 1
  • @
    @Fgldesigns4 years ago Kwamba aliishi mpaka akachoka mwenyewe. Daah wangegundua wabongo wangekula karibu wote. 1
  • @
    @mgenirasimi77714 years ago Bahati kwa bahati mbaya hakua na hakiri.
  • @
    @apostleplukuta17514 years ago Hata ivyo japana ndio nchi inayo ongoza kwa watu kuishi miaka mingi kuliko nchi zote duniani na wazee wengi huchokaga kuishi na kuamua kujiua hasa kwa . ...Expand
  • @
    @mouricekattys51394 years ago Alie wapa majina wanyama wote alikua adam ukisoma biblia vzuri.
  • @
    @estherdaniel45824 years ago Mmh nataman kumpata hyo nkipata nakula mzima naacha kichwa tu.
  • @
    @annetteafricette57334 years ago Aliyetoa majina ya wanyama miti na viumbe hai wengine no adam pale bustani ya eden.
  • @
    @bkboytv84274 years ago Kuna video nmenasa kwenye kamela dukan kwang ya kigagula. 3
  • @
    @daughterofzion.96244 years ago Aaai uongo huu. Adam ndie alipatia wanyama majina stop confusing the listeners. 2
  • @
    @harmonizevevo10924 years ago Stori zako zinanifanya nkufwatilie broo. 3
  • @
    @apostleplukuta17514 years ago Hata ivyo japana ndio nchi inayo ongoza kwa watu kuishi miaka mingi kuliko nchi zote duniani na wazee wengi huchokaga kuishi na kuamua kujiua hasa kwa . ...Expand