Duration 2:27

Utafiti waonyesha watoto huenda wakageuka kuwa bongo lala wakiendelea kukaa nyumbani

2 983 watched
0
21
Published 14 Jul 2020

Kuendelea kukaa nyumbani kwa watoto wa shule huenda kukaathiri pakubwa uwezo wa wanafunzi kusoma watakaporejea shuleni. Utafiti wa hivi wa shirika la kibinafsi la PAL unaonyesha kwamba katika kila watoto kumi walioko madarasa ya chekechea, wanne miongoni mwao hawana uwezo wa kufanya hesabu rahisi, huku ikihofiwa kuwa huenda watoto hao wakasahau kila kitu walichokuwa wamesoma kabla ya janga la corona.

Category

Show more

Comments - 6