Duration 8:5

Wafungwa Wenye UKIMWI wazungumza PinguZanguGerezani

12 006 watched
0
37
Published 24 Dec 2017

Kwa waathiriwa wa virusi vya ukimwi maisha huwa pande mbili za sarafu. Mepesi na magumu. Wafungwa huweza kukabiliana vipi na hali hii? Mwanahabari wetu victor wetende alizuru gereza la kamiti na lile la wanawake la lang'ata hapa nairobi, akazungumza na wafungwa ambao wana hali hii. Katika makala yafuatayo ya 'Pingu Zangu Gerezani', wengi wana matumaini lakini kuna wale ambao hali hii imewadhoofisha kiafya na kimawazo.

Category

Show more

Comments - 2