Duration 43:57

NAMNA NGUVU ZA GIZA ZINAVYOFANYA KAZI (II) - PASTOR SUNBELLA KYANDO

14 460 watched
0
169
Published 13 May 2021

Nguvu za giza zikiwa ndani ya mtu sio kwa sababu huyo mtu ni mdhambi sana,bali kuna sababu mbili zinazopelekea mtu huyo kuwa na nguvu za giza ndani yake. Sababu ya kwanza ni familia au ukoo aliotokea.Koo nyingi za Kiafrika zinajihusisha sana na masuala ya upande wa giza,iwe ni kwa kufanya matambiko,uchawi,ushirikina na kadhalika.Vitendo hivyo huzipa uhalali nguvu za giza kufuatilia watu wa familia au ukoo huo.Na watu wa aina hii huwa hata wakijitahidi vipi ili wafanikiwe kwenye eneo fulani la maisha huwa hawafanikiwi,na hii huwaumiza sana maana huwa hawajui sababu ni ipi.Maana mara nyingi vitendo vya giza vilivyofanywa kwenye koo walizotoka huwa hawavijui. Lakini sababu ya pili ni kutoishi maisha ya utakatifu.Watu wa aina hii wakiwa na nguvu za giza ndani yao mara nyingi hujua chanzo cha hizo nguvu za giza kukaa ndani yao ni kipi. Karibu usikilize somo hili kutoka kwa Mtumishi wa Mungu Pastor Sunbella Kyando ambalo litakupa majibu ya maswali mengi uliyokuwa unajiuliza. UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322 Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii Like our Facebook: https://www.facebook.com/Therealityof ... Follow our Instagram: https://www.instagram.com/realityofch ... Subscribe our YouTube: /channel/UC67L ...

Category

Show more

Comments - 26
  • @
    @childrengospelmissiontanza14743 years ago Yananihusu mimi kabisasana ndugu na hapa nilipo mguu unanisumbua. 1
  • @
    @nikolaussaimon88973 years ago ROHO MTAKATIFU.AZIDI KUKUPA,MAARIFA.ZAIDI KWA AJILI YA WENGI.nimepona nimepata jambo kubwa sana . 1
  • @
    @estherwambui49083 years ago Praise jesus. Jina langu in esther nikoni kifuatilia mafundisho yenu nanime barikiwa sana mungu awa bariki sana. Mutumishi wa mungu nilikuwa ninaomba unisaindie na shule ya theology yenye inaeza nifundisha mambo ya mungushule ya theology hapa kwetu but niingetaka bado kuongezewa hekima zaidi, nisome na ya tanzania sasa. Ningeomba unisaindie vile unaeza uni connect na zenye ninaeza some a online. Plz naomba na uta barikiwa na mungu. Neno la mungu linasema wanaomtafuta kwa bidii watampata. ...Expand
  • @
    @anifasifa61503 years ago Mungu atutiye nguvu. Aksanti mchungaji mafundisho mazurisana kwa jambo la kuwa na facemakubwa baba. Ubarikiwe zaidi.
  • @
    @Grace-zw5jj3 years ago Asante sana min. Sunbella. Imenigusa na kunihusu sana. Pia imeconfirm you are the right person. Mtumishi wa kweli wa mungu. Ni vizuri kutest every spirit. Be blessed in everything you do.
  • @
    @everlineeva5943 years ago Amen hayo maubiri yame nilenga mimi, mtumishi najitoa sana kuwa saidia watu hata na kusimama na huduma ya mungu, but nahandamwa sana na mikosi sana. 1
  • @
    @delishbby85423 years ago Spiritual world is more really than physical world. 1
  • @
    @edwigemwigha15423 years ago Mtumishi wa mungu shukrani kwa mungu aliye kuweka kwa kazi yake. Somo hilo naamini inanihusu pia. Kupitia somo hii naomba rehema ya mungu na kupitia moambi . ...Expand
  • @
    @irenefrank26443 years ago Naelewa sana mafundisho sijutii kuabudu reality mungu akutunze vyema baba.
  • @
    @janembalinga70743 years ago Nawezaje kukuona mtumishi? Tafadhali msaada. 1