@Temboz4 years agoVery nice tribute from kikwete. I love his flawlessmoi(nyayo)r. I p. 7
@
@killiancristian78904 years agoI honestly missed kikwete, this guy is ever eloquent. 24
@
@goodlackriwa67284 years agoKikwete na uhuru kenyatta marais wazuri wenye upendo na wanaojali demokrasia mungu awajalie maisha marefu. 21
@
@allanfestus21684 years agoI finished listening to it and now typing this listening a second time. Eloquent guy. 4
@
@barryryoba14894 years agoAsante raisi kikwete. Umetuwakilisha vizuri saaana! Mimi kama mtanzania nilivyokuona tu umesimama kuongea nilifarijika sana kwani nilijua utazungumza maneno mazuri yenye hekma kwa hawa ndugu zetu wakenya. 5
@
@ndegwawarukira29124 years agoKikwete and nyerere are the best presidents tanzania had. 1
@
@salummkulungwa6054 years agoR. I. P moi, tanzania and kenya not only friends but relatives. 12
@
@jaffarmguwa55664 years agoAsante kwa kutuwakilisha vizuri katika msiba wa wandugu zetu wakenya. 2
@
@nkyabosi48274 years agoNo one can campaign against kikwete in eac, his words cut deep no matter. 12
@
@emmanueljohn40184 years agoYes to best president jakaya kikwete, rip moi. 1
@
@jacksonzakayo67594 years agoMy x president, bado unanguvu sana kama ingekua inaruhusiwa kurudia uraisi ungeludi tena, we love you. Mungu azidi kuwa linda zaidi na zaidi.
@
@samanthaali8734 years agoHongera kikwetu mm ni mkenya ila nakupenda mno. 3
@
@husseinkalamba13844 years agoJk nikati ya marais bora duniani jaman. 4
@
@leopordhamulungi88464 years agoNimependa jk alivyo connect mapema kuwa rais mkapa ndo aanze kuongea, katambua mkumbwa yupo kabla yake, hii ndo busara. 8
@
@mufush4 years agoAngalia watanzania walipo nakuongea mbele ya former wake. 18
@
@minormine44174 years agoNimeipenda sana kauli yako mh kikwete ya jinsi ulivyojifunza kwa daniel moi, alivyokuw na upendo kwa raia wake na kwa kweli ulifuata nyayo zake! Lkn mbona mwenzio hana upendo yaani mkorofi na chuki nyingi shame on him! 6
Related videos for Former Tanzania's president Jakaya Kikwete gives tribute to the late Mzee Moi: