@chagogegereka28893 years agoHapo ndipo wanapo pandikizwa wanajeshi wa tanzania kuwa vibaraka wamarekani. 3
@
@MohamedHassan-zc5bl3 years agoSijui hawa wamerekani wana maslahi gani na nchi za kiafrica? Kila nchi wa afrika wameweka base. 3
@
@SM-fu1yv3 years agoMama duh mmarekani yupo tanzania sasa.
@
@yohanajoseph57733 years agoHongera sana jeshi la jwt kuweka sawa inchi yetu. 1
@
@shinipapaya8463 years agoNimeota ndoto mbaya sana wanaogopa atazaliwa new magufuli maana aliwatingisha vibaya mnoo.
@
@emmadeprincetv61333 years agoMna urafiki namjipange kimtindo adui yako ndio rafiki yako. Mtaitafakari kaulu ya jk kikwete natumain kuwafundisha ili mtafunwe vizuri anyway nisiongee sana mungu pekee atusimamiee vyemadaima nitaifia. ...Expand1
@
@salamanhonya96773 years agoHongera kwenu jeshi la jwtz. Mungu ibariki tanzania, mungu ibariki afrika. 2
@
@swala21703 years agoMajambazi number one ndiyo hao! na kwa madharau mengi wamarekani wote hawakuvaa kofia.
@
@bashaakumaarpandan90213 years agoMazoezi ya pamoja ninayoyajua mm ni marekan na korea ya kusini full vifaru na ndege za kivita. 1
@
@ibnhassan99803 years agoMzungu anamsaluti mtu mweusi tena bila ya kofia. 1
@
@ndimimaskati36413 years agoMnajitayarisha ikifika wakati wa uchaguzi mkauwe wazanzibari katika nchi yao. 2
Related videos for JWTZ na JESHI la MAREKANI Baada ya MAFUNZO ya PAMOJA ya KUKABILIANA na UHALIFU, WAFANYA HAFLA..:
na kwa madharau mengi wamarekani wote hawakuvaa kofia.