Duration 10:1

MEMBE ALIVYOINGIA, ALIVYOCHUKUA FOMU NA KUONDOKA OFISI ZA ACT WAZALENDO MAGOMENI DAR

23 146 watched
0
84
Published 17 Jul 2020

Hivi ndivyo aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje Benard Membe alivyoingia na kutoka katika ofisi za ACT Wazalendo jijini Dar es Salaam leo tarehe 17 Julai 2020, kwa ajili ya kuchukua fomu ya kukiomba ridhaa chama chake kuwa mgombea wa Urais atakaye peperusha bendera kwa niaba ya chama hicho. Membe amekuwa mtia nia wa kwanza aliyejitokeza kuomba ridhaa ya kuteuliwa na ACT Wazalendo kuwa mgombea wa Urais

Category

Show more

Comments - 105