Duration 8:21

HABARI ZA MUDA HUU: JANUARY MAKAMBA ATUMBULIWA

63 297 watched
0
250
Published 19 Nov 2021

BSUN ONLINE MEDIA, ni channel ya habari za siasa zilizofanyiwa upembuzi yakinifu kabisa kutoka katika vyanzo mbali mbali vya habari ikiwemo MITANDAO YA KIJAMII,MAGAZETI,REDIO NA TV zinazohusu Tanzania na nje ya Tanzania,tunajitahidi sana kutoa habari zetu kwa uwazi bila kupendelea wala kwa lengo la kuchafua upande wowote ule kisiasa. Kama bado huja-subscribe tafadhali fanya ku-subscribe na mshauri mwenzako pia #makamba #raissamia #mamasamia #magufuli #jemedali @millardayoTZA @SwahiliCartoonAnimation @MwanahabariDigital @bongotimestv @jamhuritv2023 @Linconmedia

Category

Show more

Comments - 205
  • @
    @angelsylvester47953 years ago Duh rais wetu kipenzi Magufuri tunakulilia baba kwa mema mengi uliyotufanyia kwa muda mchache uliokuwa nao kwenye nafasi yako ya kututumikia wa tz ingekuwa kofo kina rufaa tungekata urudi jasiri wa kweli mpenda haki mtetezi wa wanyonge ulale salama tutakukumbuka daima😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭👏👏👏❤ ... 3
  • @
    @msafiriiddy48563 years ago Nikweli tumechoshwa utendaji wa waziri wa nishati ndugu Januri makamba mama samia kama nimuzalendo wakweli muondowe januari makamba au nawewe nipigadili nini 9
  • @
    @mcdonaldelias71373 years ago Umemzawadia makamba wizara ilimpige dili ilimuuze magenerator kama awamuya jk mulimuondoa babawawatu kalemani makamba amekuwa ATM yenu tuachieni Tanzania 7
  • @
    @dicksonsenyagwa55453 years ago Awamu ya nne hii kwani hàkuna.
    Mtanzania ambae haelewi mpaka mtoto mdogo anajua huyu Mama anaongozwa na msoga team
    9
  • @
    @chrisskihwele17953 years ago Makamba alitiliwa shaka tangu kuteuliwa kwake. 6
  • @
    @mwanamkasimahaba90053 years ago Kwani Kalemani alifanya nn??Maana tangu aingie Jan ni mgao??Ile gesi ya Mtwara tuliambiwa umeme utakuwa mwingi na utakuwa na nafuu mbona sielewi??? 4
  • @
    @frbm17293 years ago Wapiga dili wapo kazini.wauze majenereta. 6
  • @
    @mrokana64933 years ago kalemani kalemani. Tunamlilia saaaana kalemani jembe la baba kiatu kilimtosha vizuri sio huyo comedy 3
  • @
    @patricialpatrick99273 years ago kwann alimtoa kalemaniii why? samia jiuzuluu 8
  • @
    @mainguburemo61863 years ago Msifikirie 2025 Watanzania tumeelemika mtaangukia pua na mdomo 4
  • @
    @nelsonmwavipa97613 years ago Mpango mzima ni katiba mpya tu hata mngelia kwa namuna gani hamtoboi. 3
  • @
    @japhetdaudmaneno84403 years ago Nchi za jangwa, Gulf Arab countries)hazinyeshagi mvua wala hawa rasmili nyingi lakini hakunaga mgao, Africa tuna laaana gani jamani 🙆🙆😭😭😭🤔🤔 4
  • @
    @isayamganule17413 years ago Rest in peace Magufuli tupo tunawatizama Maguful ni shujaa 2
  • @
    @babuchawalla18773 years ago Kwakweli tukotena,kwenyemaisha,yaufisadi 5
  • @
    @ssssff553 years ago Hakika kiongozi Bora akiondoka kinacho Baki ni upuuzi mtupu nikweli alisema mtanikunbuka Kwa mazuri leo umeme unakatika mpaka massa kumi12 amakweli ni shida tunanaomba Mungu atuhurumie maana ni shida tupu 3
  • @
    @mussajuma70843 years ago Samia fanya maamuzi bila kupepesa macho,mrudishe Kalemani alikuwa anapiga kazi had ucku, 5
  • @
    @oskamsafiri28143 years ago Kwanza ninaamini hYo makamba ndio kigogo 2014 8
  • @
    @ibrahimhussenihusseni20273 years ago Huyo ni mpiga diri kwani yure mlimtoa kwasababu gani huyu ni mwizi 2
  • @
    @dicksonsenyagwa55453 years ago Huyo msambaa hajui kazi yoyote JPM alimtoa kwenye uwaziri hafai huyu mama anamteua kwa sababu tu ya uteam msoga 4
  • @
    @noelmzunya14763 years ago Kigogo sasa atajitokeza kwa kasi mpya kuliko zama zileee 2
  • @
    @tinyaanosiatha11183 years ago Huyu makamba ni jambazi sungu haiingii akilini mwenzi mmoja tu kashika nafasi ya wizara ya nishati umeme hakuna. Mbona miaka mitano ya jpm umeme haukukatika. Hivi nyie watanzania Hamuna kama njama zimefanywa ili biashara za jenereta zipate soko. ... 3
  • @
    @ezibongiliad92703 years ago Hajra mressa,Hy januari hawezi Hy wizara mrudishe kalemani 1
  • @
    @petronillamnyambi76073 years ago Mama tunaomba umweke yule aliyemweka MANGUFULI tafadhali 2
  • @
    @msimbati72443 years ago Kiukweli wanaudhi sana inakuaje madaraka yanazunguka pale pale? Mbn watanzania wasomi na wenye uwezo wapo wengi huyo so alitimuliwa mbn mambo siyaelewi haya? 4
  • @
    @josephmagema16423 years ago Wiki nzima umeme mkalama singida ni shida 2
  • @
    @makingiwaryoba77773 years ago Shida ni hiri rimama rimemuuwa baba yetu ilipige madiri yako na hao mbwa wake 2
  • @
    @edwinmkoma46173 years ago Shida Kubwa Ni Nimuweke Mtoto Wa Nani?!Badala Ya Kuangalia Wenye Ujuzi 3
  • @
    @KADALAtv2553 years ago Anahujumu nchi Mimi simpendi kabisa hatufai 1
  • @
    @mdimimdimi42823 years ago Samia hafai kabisaaa kuwa Rais wa nchi 16
  • @
    @victormtani71703 years ago Mama Samia suluhu Hassan ninakuuliza kwanini Mama ulimtoa kaleman unamuweka huyo Mpiga dili ni jambazi huyo atakuharibia nchi na Uongozi wako. Mama ikiwa Uongozi umekushinda Jihuzuru tunakuomba. Kikwete alituletea ushenzi mkubwa alituchezea sana. JPM alipoingia Magufuli ujinga huo haukuwepo wamemuua Magufuli akina Msoga ili watufanye Watanzania wajinga hamna tulielimishwa na Rais wetu Magufuli Rip Magufuli ... 6
  • @
    @masinchagabriel18483 years ago Hivi mimi nauliza samia anatumia vigezo gani kuteua mafisadi sio siri huu uongozi umemshinda
  • @
    @ibrahimhussenihusseni20273 years ago Mama wiki mbili zimepita wamemwaga maji mtera 2
  • @
    @gudluckmacha1133 years ago Nina nukuu mtanikumbuka tena mtanikumbuka kwa mazuri wala sio kwa mabaya MUNGU tuangalie hii nchi inakokwenda ni shida kila kukicha afazali ya jana mbolea juu umeme shida maji shida tozo za mitandao wamachinga hoi mmmh 3
  • @
    @wazirisaid83263 years ago Mh. Januari kuwa makini wanakuhujumu bro Kama alivyohujumiwa Shukuru Kawambwa Kipindi fulani.Waliochangia kutolewa kwako na JPM Sasa wamechukia kurudishwa kwoko serikalini na Sasa wanawatumikia akina nanihiii wale wasaliti wa CCM hii kwakuwa hao wasaliti walichangia wao kuwepo hapo walipo hivyo wanalipa fadhila,tumbua wote weka watu watakaokusaidia kazi wasomi ni wengi nchini.Bro take care pambana tupo nyuma yako. ... 2
  • @
    @laurentlusatho43433 years ago hakuna viongozi wazuri wa hii serikali nchi inakwenda tu kama mbuzi alie wekwa kkwemnye gunia,yote sawa,ila chozi LA munyonge hulipwa na mungu 2
  • @
    @pantaleolaurentlaurentkavu20113 years ago Tutarajie maisha gharama zitapanda Santa kwa kuwa iuongozi huendana na ujasiri na soon sifa za kuonge TU bila matokeo kwa wananchi.hata mapya hayasikiki Tena ya kusonga madarasa na zahanati.barabara mpya za lami huenda tusipate karibuni. ...
  • @
    @henryanatoly25223 years ago Hii serikal ya huyu mama ni ya kihuni sn , yaan wanackia wazi kero za wananchi lkn wanapuuza na kutoa sababu za kihunihuni zisizo na mashiko hata kidogo
  • @
    @mayagilokasuka60453 years ago Jamani watanzania tunaumizwa namajitu machahe ambayo haya na busala majizi yanapenda kulakula na kufujamalizauma yaaani mungu tusaidie watanzania yaani nchiimekiwa kama dangulo eemwenyezi mungu siuyachukuwe yaaani uyauwe kabisa yamemuondowa j p m iliyafanye ujinga wao emungu tusaidie ...
  • @
    @charlesmwandenuka79863 years ago Mwe Finyambala fya ndunyika I have to go back
  • @
    @rahmarahma9203 years ago Chanzo ni Huyu mama sioviongozu wa chini kwani wale ambao Magu aliwaweka pembeni Yeye ndio wamawake 2
  • @
    @athanasmsangule83153 years ago Hakuna jambo la kuhalalisha mgawo wa umeme zaidi ya udhaifu wa Waziri wa Nishati. Uwezo mdogo wa Januari ndiyo ulizorotesha usimamizi bora wa mazingira na kuleta majanga lukuki. Mwondoe, Kalemani alilimudu eneo Hilo, mwenye uwezo apewe tafadhali. Uswahiba na uhuni hautaisalimisha CCM kwa vyo vyote! ... 1
  • @
    @abdalahmsigiti53083 years ago Wamàchinga walionekana wanainyima mapato serikali kwa kuuza biashara mbele ya maduka je kukatika kwa umeme ndio faida viwanda kutofanya kazi kwa uhaba.wa umeme ndio maendeleo tuachieni machinga tujenge nchi kwa pamoja vyenye kutka taifa hasara ni Vingi kitu umeme ndio moyo wa.uchumi katika nchi yoyote duniani ... 2
  • @
    @mosessimwimba9623 years ago Ni kweli huyu mama samia anaonyesha wazi nchi umeshinda anapangiwa watu wa kuwaweke ambayo Hawana uchungu na wananchi wa Tanzania uongozi umeludi kwa jakaya haya yote yalikuwa ya huyu mzee jakaya waachie ngazi wamesha shindwa ...
  • @
    @ezekielmabwai4823 years ago Wanachaguana kishikaji! Hivi mama umekosa chaguo sahihi?
  • @
    @godfreygeofrey78043 years ago Inabidi Rais aangalie kilio cha watanzania inawezekana hata ndo maana mvua hazinyeshi maana kila siku watu hulia na nyie mnakula bata kwa pesa hizohizo za hao mnaowafanyia ubaya.
    Rais kwa Makamba umetuumiza na tunalia kwakweli na vilio vyetu viko juu yako na Mungu anakuona
    ...
  • @
    @emanuelzawad21953 years ago Hatahivo tuko wanachi kama arobaini nanane hatuna umeme natanesko wanajua alafuhawatufanyii kazi 1
  • @
    @vernadodyaki75283 years ago Mungu bàba fañya yanayowapendeza wàtu wako
  • @
    @petronillamnyambi76073 years ago Bado mko kwenye ukoloni mungu mfufue magufuli hakuna hata anayefanana na magufuli? 1
  • @
    @azizawadh59733 years ago January sio tatizo tafuteni tatizo kwani Makamba Fundi.
  • @
    @godblesskessy55163 years ago Mfumo mbovu huzaa vio ngozi wabovu, miaka 60, tz Ina umeme was mgao kweli bii ni aibu kwa taifa 1
  • @
    @salummabula11763 years ago Kwanza huyu mama anadhambi kubwa Sana mbona mvua hainyeshi Kila mahalo inabidi akatubu kwenye kabulila magufuli ndoo mvua itanyesha
  • @
    @mathewjiah36873 years ago Yote ni maisha lakini yupo aliye juu ya wote yatapita na haya
  • @
    @solomkubwa77353 years ago Uyu mama anazinguwa ina onekana anajuwa walicho mfanyia mze JPM
  • @
    @gisbertsambala52053 years ago Makamba atolewe Hana uwezo kusimamia wizara hii.
  • @
    @saiddsiddi94453 years ago Mweshimiwa ss huku iska leo miezi sita toka wamefunga trsifoma umeme hauja washwa mkuu makamba timuwa tuuuu huyo hana uchungu mweshimiwa isaka khama.
  • @
    @boscomfundo79533 years ago Laana kutokana na uonevu dhidi ya wasio na hatia haitaiacha nchi hii salama. Haki huinua taifa Bali dhambi ni aibu ya watu wote. 1
  • @
    @ramygichero10162 years ago Huyo ni hamna Wizara aliyo wahi ongoza Ika nyooka
  • @
    @abdulyshemashiru87413 years ago Kua makini kaka angu makamba na kua mzalendo na taifa lako mana hata jimbo lako halilizishi na ww uko kwenye kitengo kizito
  • @
    @kennethndingo25443 years ago Raisi wetu unaskia kilio cha watu kweli kuh.umeme pana tatizo kubwa sana matatizo mengine yanaweza kuwa magumu kutatua basi yanayoweza kutatuliwa yatatuliwe..
  • @
    @kilalaurio99223 years ago Makamba kachaguliwa mwacheni Rais aamue mwenyewe kama hamridhiki subirini 2025.
  • @
    @geo..gemologist.81713 years ago Uyo makamba atoke na wafedha na hao waovu wote maana wanajifaham
  • @
    @julaimbwilo67103 years ago Huyo wazili wa nishati hatumtaki aludi kalemani tumechoshwa na ahadi za kihuni
  • @
    @veronicaandrew86663 years ago Baada ya mzee tuu kuondoka kila kitu kimekuwa shida ila mama kuwa makini ww ni mwanamke ifike mahali uwe na ubinadamu binafsi simlaumu waziri coz yy yupo chini yako nn kinakushinda kutoa maamuzi kama rais msitutese bhna 1
  • @
    @simongwandu73923 years ago Hafai kabisa Rais ameshauriwa vibaya aondolewe
  • @
    @lameckbalekere19623 years ago January makamba amepewa uwaziri kama shukulani ya asante walichokifanya na Nape nauye
  • @
    @aminattai26763 years ago Ata ukimuondoa makamba bado wapo wavurugaji wengi ambao upinzani wa chini kwa chini na ndio wanaoharibu mambo mengi,makufuli ndio nani mpaka kuwe na laana kwa kutokuwepo eye kule kenya mvua hakuna na jua ni kali kuliko Tanzania laana ya makufuli imefika kenya? Tatizo hamujielewi na kuna kitu kinawapelekesha sana ...
  • @
    @hichayasin72443 years ago TULETEENI MAREJETA YA BEI RAISI ILI TUJIANDAE NA MGAO UNAOKUJA, 1
  • @
    @barikielshoo93633 years ago Kwa nini mtake kutumbuliwa January ?
    Kwani hamjui kuwa anafuata kile Rais.wake au.mamlaka ya uteuzi? Kwani hamkusikia utetezi wa Lengai Sabaya au mnafikiri ni uongo?
    Mwenye majenerator amesota miaka 5 hajallala imebidi afanye yake.
    Huyo mama naye anayo Obligation ya kuwasikliza wanamsoga maana walimpigia chapuo kuokota alichokiokota msifikiri kuwa Yuko huru kwa maamuzi yake mwenyewe hata kidogo.
    ...
  • @
    @marianewton82833 years ago Nape na yusufu siwapendi wakiwa kwenye uwongozi hawa ni viroboto
  • @
    @jamesponeca89123 years ago Amwache tu ila kula zikipungua wasiwe wana waibia wapinzani,viongozi ka hawa ndio huwa wanakifanya chama kichukiwe na watu,Hafu kwenye uongozi tafuteni watu makini sio kumpa mtu cheo ka zawadi,matokeo anakuharibia.
  • @
    @josephmahubemaro74063 years ago January makamba
    Haiwezi wizara ya Nishati apishe tu
    Yeye yupo kwa masirahi yake
  • @
    @emanuelzawad21953 years ago Hiviunajua cementi Bei gani nahayaongelewi kilamtuanajipangia Bei yake sijui wapitunaelekea
  • @
    @saidpazi66203 years ago Hii Nchi Makufuru alitueleza Wananchi KINAGAUBAGA
    VIONGOZI FIKIRIENI HII NCHI WATU WATACHOKA ITAKUWA BALAA
  • @
    @wadeelegbogun30153 years ago Hii katiba mpya kwa sasa ije tuu ,tumechoka n mafisadi