Duration 15:8

Bumbuli afunguka wachezaji wa Yanga kucheza wakiwa wanaumwa

37 087 watched
0
247
Published 20 Dec 2021

“Wachezaji wakasema sisi tunataka tucheze huu mchezo” maneno ya Afisa Habari wa Yanga SC, Hassan Bumbuli ‘akifunguka’ sababu za baadhi ya wachezaji waliotajwa kuwa na changamoto ya afya lakini walicheza dhidi ya Tanzania Prisons.

Category

Show more

Comments - 33