Zawadi ya Queen of Baibuda Yani Neyrate kwa Maalimu Seif.. #act #actwazalendo #neyrate #QueenOfBaibuda
Category
Show more
Comments - 48
@
@nassorhamiss97774 years agoMashallah dada umemba maneno mazr xna yni ymeniguxa hdi nstokwa na machoz inauma xna mashehe wetu da ila inshallah allah atatusadya. 1
@
@masoudyrashidy90414 years agoNeyrat hichi kitu umekitunga mwenyewe au vp dah inaniuma sana ktk moyo wng maana mesej zake zote ni kali mno zinagusa hisia za watu mungu atupe mabadiliko mwaka huu in sha allah. 4
@
@salimhamad17304 years agoInauma sana wamewachukua mashekh wetu mpaka leo wanawatesa bila ya kosa ila mungu yupo anawaona wanayoyatenda ccm. 3
@
@aliyehemed67704 years agoTutawatowa mara hii inshallah maalim songa mbele. 5
@
@kassimfaridi14554 years agoHaki itendeke kiukweli hongera sana mama. 2
@
@masoudyrashidy90414 years agoHata kama sio mshabiki wa song lkn hii inameseji nzito ndani yake kiukweli hongera yako dada. 5
@
@ibrahimadam42724 years agoAct hoyee ukiona wao wewe piga nduki. Mutajuwa safari hii kuwa maharagwe ni maini ya shamba. 2
@
@hajikombo85784 years agoJapokua ni nyimbo ila imetuliasana, sio kama zileee za kukkurupuka na kujigamba kwa ubabe na kujisahau kuwa yupombabezaidi yao. 4
@
@aishasaid67494 years agoYaani nimeirudia mara kadha kwakweli ina ujumbe kwa ss wazalendo. 2
Related videos for Maalimu Seif ACT Wazalendo By Neyrate (official Audio):
mungu atupe mabadiliko mwaka huu in sha allah. 4