Duration 5:41

YESU ndiye jiwe kuu la pembeni / Yeye hunyoosha njia za watu wake ili wafanane na MUNGU wa Mbinguni

207 watched
0
2
Published 9 Jul 2021

Ibada kutoka Kanisa la CLC - Sinai Mlima wa Washindi lililopo katika Kata ya Kiranyi, Sakina Mkoani Arusha. Mahubiri kutoka kwa Mpakwa Mafuta wa Bwana, Askofu wa Makanisa ya Christian Life Church - Tanzania na Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la CLC - SINAI MLIMA WA WASHINDI ; Askofu Joseph Laizer. Mawasiliano: +255 753 254 189 +255 768 934 047

Category

Show more

Comments - 0