Duration 12:46

MAMA AWANYONGA WANAE MAPACHA NA KUWACHOMA MOTO, MASHUHUDA Wasimulia - ALITUMIA GODORO KUWACHOMA

27 070 watched
0
125
Published 13 Dec 2021

MAMA AWANYONGA WANAE MAPACHA NA KUWACHOMA MOTO, MASHUHUDA Wasimulia - "ALITUMIA GODORO KUWACHOMA" Tukio lisilo la kawaida, limetokea katika Mtaa wa Gogo, Chanika jijini Dar es Salaam na kuacha simanzi kubwa baada ya mama kudaiwa kuwaua wanaye pacha wenye umri wa kati ya miaka miwili na nusu na mitatu, katika mazingira yaliyojawa na utata mkubwa. Waandishi wetu Richard Bukos na Issa Mnally, wamefika eneo la tukio na kuzungumza na majirani pamoja na uongozi wa mtaa huo, kuhusu tukio hilo lililoacha gumzo kubwa kwa wakazi wa eneo hilo. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: /playlist/PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: /playlist/PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 92