Duration 2:11

Zaidi ya shilingi bilioni 4 kujenga hospitali ya rufaa Ukerewe

137 watched
0
2
Published 2 Jun 2023

Serikali imetenga kiasi cha zaidi ya Tsh. Bil.4 kwaajili ya kuanza ujenzi wa hospitali ya rufaa wilayani ukerewe Mkoani Mwanza itakayotoa huduma za matibabu ya kibingwa ikiwa ni mpango wa serikali kupunguza vifo katika visiwa 38 vilivyopo katika Ziwa Victoria.

Category

Show more

Comments - 0