Duration 6:30

LINDI KUNA NINI - ALIYESHINDWA KUAPA LEO na ALIYESHINDWA KUOMBA KURA Wote LINDI

139 958 watched
0
337
Published 9 Dec 2020

LINDI KUNA NINI? - ALIYESHINDWA KUAPA LEO na ALIYESHINDWA KUOMBA KURA Wote LINDI... KUFUATIA Naibu Waziri wa Madini, Francis Ndulane kupata kigugumizi wakati alipokuwa akiapa mbele ya RAIS Magufuli Desemba 9, 2020, Ikulu ya Chamwino mjini Dodoma, jambo hilo limezua minong’ong’o kwa baadhi ya wananchi kwenye mitandao ya kijamii. Minong’ong’o ya wananchi imehoji kwamba mkoa wa Lindi kuna nini kinachosababisha hali hiyo, kwani hata wakati wa mchakato wa kura za maoni za ubunge wa wa viti maalum kupitia UVCCM, mmoja wa wagombea wa kiti hicho, Husna Said Mwambiko kutoka mkoa wa Lindi naye alishindwa kabisa kujieleza na kuomba kura mbele ya wajumbe mpaka akapewa maji ya kunywa lakini haikusaidia. Imeandaliwa na Edwin Lindege na Felista Massae... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 210