Duration 3100

Mashairi ya asili Micheweni Pemba na Mzee Massoud

1 142 watched
0
12
Published 2 Dec 2020

Micheweni Pemba ni sehemu ambayo hadi sasa inaendeleza utamaduni na asili yao kama vile mavazi, mashairi, vyakula vya asili na mengine mengi, hii inatokana na ustaarabu wao wa kukaa pamoja na kurithishana uasili huo kutoka kizazi hadi kizazi. Usikubali kupitwa tunaomba SUBSCRIBE na uguse kengele ili uwe wa kwnza kujionea uasili huo.

Category

Show more

Comments - 1