Mahitaji:
SOSI YA NYAMA
Nyama ya kusaga 1.25 lb/600gms
Kitunguu maji 1 cha kiasi kiloktwa ( 1/2 nusu kikomne)
Majani kakavu ya tyme nusu kjk 1 1/2 tsp
Mchanganyiko wa mimea mikavu ya kitaliani (Italian mixed herbs) kjk 1 na 1/2
Pilipili manga ya unga kjk 1 cha chai
Pilipili kavu nyekundu 1/4 kjk cha chai
Mchanganyiko wa kitungg thom na tangawizi mbichi ilosagwa kiasi kjk 1 cha kulia
Chumvi kiasi
Vikombe 5 vya tomato sauce ya kupikia au marinara sauce au pasta sauce
Maji au supu ya nyama 1/2 kikombe
Sosi Béchamel
Siagi vjk 4 vya kulia
Unga wa ngano vjk 4 vya kulia4
Maziwa ya baridi vikombe 3.5 /800 ml
Pilipili mnga nyeipe au nyeusi
Chumvi Kiasi
Kukubgu manga kipunje
JINSI YA KUTENGENEZA LAZAGNIA /watch/gdABk8_XQx9XB
JINSI YA KUTENGENEZA SOSI YA NYANYA /watch/8m2EQQQICuTIE
Aroma of Zanzibar social media
https://www.instagram.com/fathiya.ismail/https://www.facebook.com/aromaofzanzibar/
Video intro Zanzibar Spice Market by Farhat Abbas /results?search_query=farhat+yummy
Video Intro Mombasa spice market by Chef Farouk Amboka
https://www.instagram.com/faroukamboka/?hl=en
Music courtesy https://soundcloud.com/beatoj/contemplative-middle-east-oud-improvisation
This is English and Kiswahili channel where you will find cuisine from around the world