Duration 7:26

JINSI YA KUTENGENEZA ALOVERA GEL NA JINSI YA KUHIFADHI ALOVERA GEL IKAE MDA MREFU

6 534 watched
0
126
Published 28 Jan 2021

Nafurahi kushare video nyingine ya ninyi. JINSI YA KUTENGENEZA ALOVERA GEL Nadhani wengi wenu mtaipenda. Namtumaini mnafurahia Video zangu. Asanteni kwa kuangalia. Iliusikose video zangu SUBSCRIBE hapo chini #aloveragel #jinsiyakutengenezaaloveragel #diyaloveragel Nifollow katika mitandao mingine Instagram: @glow_ch1 Tik tok: glow_ch Product nilizotumia -------------------------------------------- Labda kuna mtu atataka kujua: Camera ninayotumia : Canon 80D Software ya kueditia video : imovie Taa ninayo tumia : Ring light Kamera ya kufanyia vlog: iphone xs Kwa, sponsorhip, product review, jisikie huru kunitafuta katika barua pepe: g.mtei54@gmail.com Maoni yote katika video zangu ni yangu mwenyewe, bila kujali ikiwa video imefadhiliwa au la. Hivyo basi, bidhaa ambayo nimejaribu ikanifaa mimi inaweza isikufae wewe. Wenu, Gloria

Category

Show more

Comments - 27