Duration 2:32

Wachimbaji wadogo Tunduru waiomba serikali kupeleka elimu ya ukataji wa madini

1 857 watched
0
9
Published 21 Jul 2018

Wachimbaji wadogowadogo katika machimbo ya ngapa wilayani Tunduru mkoa wa Ruvuma wameiomba serikali kuachana na dhana ya kuamini kuwa wasomi pekee ndio wanastahili kupata elimu ya kukata madini.

Category

Show more

Comments - 1