Duration 6:42

ELIMU YA VIUMBE No 2

7 057 watched
0
34
Published 29 Mar 2021

ASALAM ALEIKUM NDUGU NA JAMAA ZANGU. kwa wale wapenzi wa vitabu vyangu sasa kitu hiki kimetoka kuanzia tarehe 29 kipo hewani, kitabu hiki usikikose kwe wewe mwenye kuhitaji maswala ya ujuzi wa elimu ya viumbe na jinsi ya kufanya ili ufanikishe katika kuwamiliki, kina patikana madukani kwangu na kaliakoo msikiti wa mtoro kwa mrangu na kariakoo kwa mhindi karibu na soko kuu kwa Nayan karibu na duka la sanda. kinauzwa sh 10,000/=

Category

Show more

Comments - 24