🛑Ukitaka Kujua faida ya maarifa na ufahamu tunapima watu wawili ambao WAMEANGUA kiuchumi alafu Kati yao mmoja ana Elimu mwingine hana Elimu alafu wote wanahitaji kurudi KWENYE viwango vile vile!
Binadamu makini ni yule anayejua namna bora ya kuinuka kiuchumi anapoanguka
Binadamu makini ni yule anaendelea kuishi kwa matumaini hata kama yuko KWENYE Changamoto Kubwa
Binadamu makini ni yule asiye athirika kisaikolojia hata kama anakutana na magumu katika safari ya MAISHA
Binadamu makini ni yule anayesimama kwenda mbele hata kama hakustaili kabisa!
.
.
Contact us :-
Dodoma kisasa
WhatsApp au call +255753164374
Facebook page: Luxie Poultry Farm
Instagram page: Luxie Group investment
Youtube channel : Luxie Group Investment
Email: aswegek@gmail.com
Category
Show more
Comments - 0
Related videos for Mashine ya kutotoleshea vifaranga ya mafuta ya taa: