Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
#AlfatahCharitableAssociation
#ZANZIBAR
#AlfatahTv
Category
Show more
Comments - 27
@
@mwanaishahussein26354 years agoInmenigusa sana! Nakama ingelikuwa elulimu ya kizungu ingepata wafadhiliallh alfatah na waumini wengine allah awawezeshe kwa misaadafadhila zenu ziko kwa allah. 3
@
@salehsuleiman12184 years agoNapenda kukufatilia alfattah hakika allah atakulipa na ww. 3
@
@Da-cr6ow4 years agoSubhana allah allahu akbar kwakweli inasikitisha allah atafanya wepesi kwa hurma zake vipi yule mtoto saidi hali yake kwa sasa. 3
@
@fadhilibrahimovic41404 years agoInshallah allah atatusaidiya inshallah.
@
@MOHAMEDMOHAMED-hi4qf4 years agoFrom somalia i love you the sake of allah. 3
@
@mohamedabdallah37194 years agoMungu awabariki al fatah nomuomba mungu atujalie watoke wailamu namna hiyo kwetu kenya. 2
@
@immtm49304 years agoKwa tuso na uwezo wa mali basi tusomeni japo alfatiha. 2
@
@saluukhamic8534 years agoViongozi na wenye uwezo musiangalie sehemu za starehe tuu muangalie na upande mwengine. 2
@
@jamilashee10524 years agoInshaallah mungu ataleta wepes kwa mwezi mtukufu huu ramadhan. 1
@
@fatmaaly30564 years agoNaomba ya mualima ili nifike hilo edeo. 1
@
@ahmedalkiyum75924 years agoHao wote wanafunzi au wengine wamekodiwa jamani mabaro baro pia wanasomeshwa kweli hapo au walikodiwa. 1
Related videos for HII NI DINI YETU BASI TUINUSURU: