Duration 12:12

Vyakula 10 HATARI kwa mama majamzito.

8 361 watched
0
31
Published 20 Feb 2020

Ulaji wa vyakula ni mzuri sana, inatakiwa umakini hasa kwa wamama wajawazito inatakiwa kula vyakula vilivyopikwa katika hali ya usafi na kuiva vizuri. Hii itakupelekea kuwa na afya nzuri na mtoto kuwa na maendeleo mazuri ya kiafya ndani ya tumbo.

Category

Show more

Comments - 6