Duration 9:58

MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKIWASALIMIA WANANCHI WA BUZURUGA MKOANI MWANZA.

651 watched
0
1
Published 8 Sep 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi wa Buzuruga Mkoani Mwanza wakati akiwa Mkoani humo kwa ajili ya kuhudhuria Tamasha la Utamaduni, Mila na Desturi zetu lililoandaliwa na Umoja wa Machifu Tanzania (UMT) na Kituo cha Makumbusho cha Bujora Mwanza 08 Septemba, 2021 #SSH #KaziIendelee# #Tanzania

Category

Show more

Comments - 0