karibu katika mapishi na Amanda, leo tunakaanga fish fillet yaani samaki asiyekuwa na mfupa
mahitaji
fish fillet
vinegar au limao
chumvi
curry powder kutoka Amanda spices
parsley
karibu tupike wote kwenye channel yetu, kama ni mara yako ya kwanza usisahau kusubcribe channel yetu
kwa mahitaji ya viungo vya kupikia kama curry powder inayoonekana hapo piga simu au WhatsApp no 0655406149 kwa huduma ya haraka zaidi