Duration 7:57

SOMENI AJIRA ZIPO MSCL WANAFUNZI NIT WANUSA UHAKIKA WA AJIRA MSCL BAADA YA MASOMO..

941 watched
0
17
Published 11 Aug 2021

Ziara ya wanafunzi wa chuo cha Taifa cha usafirishaji wametembelea Kampuni ya huduma za Melii na kujionea shughuli zonazofanya hapo. Ziara hii imehusisha wanafunzi katika kozi mbalimbali za ufundi ambazo karibu zote zinaingiliana na shughuli zinazofanyika katika Kampuni ya huduma za meli. Mfano wa kozi hizo ni umeme wa magari,ufundi magari,bomba n.k

Category

Show more

Comments - 0