Duration 2:50

BIMA KWA MIKOPO

160 watched
0
1
Published 3 Jun 2018

Vyama vya Ushirika mkoani Rukwa ambavyo vimekuwa vikitoa mikopo kwa wanachama wao vimetakiwa kuanza utaratibu wa kukata bima katika mikopo hiyo ili kuvinusuru vyama hivyo kupata hasara kutokana na wanachama ambao sio waaminifu wanaochukua mikopo hiyo na kushindwa kulipa.

Category

Show more

Comments - 0