Nendeni mkatende haki WAWEKEZAJI wafurahie uwekezaji
Makampuni yanafungwa tunazidi kutengeneza mifuko mitupu
Walemavu Wana malalamiko wasikilizwe Ofisi ya Waziri Mkuu
WAWEKEZAJI wanalalamikia na haluna utatuzi Mwambe karekebishe masuala ya urasimu
VAT kwa WAWEKEZAJI, naagiza mkashughulike na kuyanyoosha haya yanayowasurubu WAWEKEZAJI